text
stringlengths
0
4.5k
Hapo jana Umoja wa mataifa ulitangaza kuwa unaondoa wafanyakazi wake wasio hitajika nchini Syria kutokana na mzozo unaozidi.
Baada ya beki wa Kagera Sugar, Juma Nyoso kudaiwa kumpiga shabiki wa Simba hapo jana, Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), limesema linasubiri ripoti ya kamishna wa mchezo huo ili kumchukulia hatua za kinidhamu.
Nyoso alishikiliwa jana na polisi kwa kosa la kumpiga shabiki huyo wa Simba aliwahi kufungiwa kwa miaka miwili kwa makosa ya utovu wa nidhamu.
"Kanuni zipo wazi hivyo hiyo ripoti itafikishwa kwa kamati ya saa 72 ambayo na wenyewe watafanya kazi yao na baadaya hapo tamati itakuwa kwa kamati ya nidhamu," alisema Ndimbo.
Kwa sababu mapenzi yaliopita sio mapenzi. Kila mtu anao aina hio ya upendo wa mazoea tunaoulinganisha na upendo mwingine. Uzoefu huu ulitokea wakati wa utoto, tukiwa elimu ya juu, wengine iliwatokea wakiwa miaka 20. lakini ...
Sio kwa namna ambavyo mnakiss Sio kuhisi utamu kama asali Sio kujihisi kama uko hewani wakati uko chini kawaida Au kwa namna ambavyo mnafurahi Hata kama mnafahamiana kwa miaka mingi kiasi gani Wala sio kwa miezi michache baada ya...
Kutokana na super busy lifestyles yetu, Inabidi kutafuta zaidi mbinu za kuonyesha wenza wetu kwamba tunawajali. Haihitaji mbinu kubwa kubwa sana au za siku maalumu ili kufanya hivyo na kuleta tabasamu kila mara. Hakuna...
Nia yako ya kusaidia mtu fulani ambaye anapata shida kwa sababu ya breakup inaweza kuwa ni nzuri , lakini the wrong responce inaweza kuleta huzuni zaidi, hasira, au kukosa amani kwa mtu. Here are...
JINSI YA (NA KWA NINI) KUWA MWENYE SHUKURANI KWA MOYO ULIOVUNJIKA
Sio muda mrefu uliopita moyo wangu uliangamizwa. kitu kizuri ni kwamba haikuwahi kutokea kwangu. Sitegemei kutokea tena kwangu. Lakini ilikuwa ni nafasi kubwa kwa ajili yangu kujifunza kuhusu mimi mwenyewe.. wiki hii, kuna watu wengi...
Kocha Mkuu wa timu za vijana Tanzania, Kim Paulsen, amevutiwa na uwezo wa vijana wanaoibuka kila mwaka katika soka nchini na kusema tuna hazina ya wachezaji wenye uwezo wa kucheza mahala popote duniani.
Poulsen amewaambia waandishi wa habari leo Jumanne Septemba 26, 2017 jijini Dar es Salaam kwamba wamefanikiwa kuona uwezo wa vijana kwa wakati wote, lakini umahiri umekuwa ukiongezeka kwa kila timu mpya inapoitwa.
“Hii Serengeti mpya inayokuja, nayo ni bora kama ilivyo kwa wale waliopita. Bado naona kuna vipaji vikubwa sana. Ni kulea tu hawa vijana kazi ambayo tutaendelea nayo.”
Amesema hao waliobaki watapangiwa kambi nyingine itakayoanza Novemba 19, 2017 na itafikia mwisho Desemba 19, mwaka huu baada ya kuivunja kambi ya muda jana Septemba 25, mwaka huu.
Katika programu ya kambi hiyo mpya ya Novemba na Desemba, Kocha Kim ametaka angalau mechi moja ya kirafiki ya kimataifa huku akisisitiza apate timu ya nchi iliyowekeza hasa katika soka la vijana: “Ikiwezekana hata mbili.”
Akizungumzia kuhusu ujio mpya wa timu ya taifa ya Vijana wenye umri wa chini ya miaka 20 - Ngorongoro Heroes, Kocha Kim amesema itaitwa kambini wakati wowote kuanzia Oktoba mwanzoni kwa kambi ya wiki tatu.
“Timu ya Serengeti Boys iliyopita ilifanya vizuri sana. Ni matarajio yetu hata hii itafanya vizuri, lakini hapa nataka nizungumzie ile iliyoshiriki fainali za AFCON u17 nchini Gabon…
Amesema kwamba sababu za kuita nyota wale wa Serengeti Boys katika Ngorongoro Heroes ni kuwapa nafasi ya kwanza wao kuonekana kama wangali na uwezo wa kupambana kama ilivyokuwa zamani na kwa wale wenye uwezo tu, ndio watakaochukuliwa,” amesisitiza.
Home > Haja Ya Dini > Haja Ya Dini > 6) Sifa Za Dini > 6) Ni lazima dini isitumike kama zana mikononi mwa wadhalimu, ili kuudhulumu umma.
Askari Polisi aliyevalia kiraia (kulia) akimdhibiti raia ambaye hakuweza kufahamika jina lake mara moja (kushoto) nje ya jengo la Makao Makuu ya Benki ya NBC Posta ya zamani jijini Dar es Salaam, leo asubuhi. Haikuweza kufahamika kwa haraka chanzo cha jamaa huyo kutiwa nguvuni na askari hao waliompakia kwenye gari lao la Doria na kuondoka naye mahala hapo.
wa kampuni ya Ulinzi ya SGA na Askari Polisi wanao linda Benki ya NBC maeneo ya Posta ya zamani Jijini Dar es Salaam leo asubuhi.
Kwa nini Afrika itanyakua kombe la dunia - BBC News Swahili
Tangu kuanzishwa kwa michuano ya kombe la dunia, hakuna timu ya Afrika imeibuka mshindi lakini mwaka huu, kulingana na afisa wa kandanda eneo la bonde la ufa, Ramadhan Mbugua, Afrika itashinda kombe hilo kupitia mmoja ya waakilishi wake watano ambao ni Nigeria, Senegal, Tunisia, Morocco na Misri…….John Nene amezungumza na Mbugua mjini Nakuru
Baada ya kufunga goli moja leo dhidi ya Swansea City, Romelu Lukaku amefunga jumla ya magoli 100 katika mechi za Ligi kuu ya Uingereza.
Lukaku amefanikiwa kufanya hivyo akiwa na umri wa miaka 24.
CHADEMA wayakana matokeo ya Uchaguzi wa Marudio majimbo ya Kinondoni na Siha _ Gazeti la Jamhuri
Massawe anadaiwa kutekwa katikati ya Mji wa Moshi na wafanyabiashara ndugu wanaomiliki vitegauchumi kadhaa katika Jiji la Mwanza na kupelekwa katika moja ya nyumba za wafanyabiashara hao eneo la Kibosho ambako inadaiwa alipewa mateso hadi kuuawa. Baada ya mauaji hayo, aliyekuwa Kamanda wa Polisi Mkoa wa Kilimanjaro, Lucas Ng’hoboko, aliueleza umma kuwa Massawe aliuawa na wananchi, lakini baada ya kelele nyingi kupigwa na familia, hatimaye aliyataja majina matatu ya wafanyabiashara wanaotuhumiwa kuhusishwa na mauaji hayo.
Mwaka 2007, Massawe na wenzake wanne walihukumiwa kifungo cha miaka 14 jela baada ya kupatikana na hatia ya kuvunja na kuiba nyumbani kwa ajuza huyo, lakini mwaka 2008 waliachiliwa huru baada ya kukata rufaa kupinga adhabu hiyo. Katika barua yao ya Oktoba 7, mwaka jana kwenda kwa DPP, familia hiyo inalalamika kutokamatwa kwa watu muhimu kwenye mauaji ya Massawe lakini pia wakihoji kigezo kilichotumika kuwaachilia huru baadhi ya watuhumiwa wa mauaji hayo.
Katibu Mkuu Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Prof. Elisante Ole Gabriel (kulia) pamoja na Balozi wa Italia, Mhe. Roberto Mengoni wakikata utepe kuashiria ufunguzi wa Maonyesho ya Uchoraji picha za Utamaduni wa Italia 17 Oktoba, 2016 Jijini Dar es Salaam.
Katibu Mkuu Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Prof. Elisante Ole Gabriel (kulia) akiwahutubia wageni waalikwa wakati wa Ufunguzi wa Maonyesho ya Uchoraji picha za Utamaduni wa Italia 17 Oktoba, 2016 Jijini Dar es Salaam.
Balozi wa Italia, Mhe. Roberto Mengoni(kulia) akiwahutubia wageni waalikwa wakati wa Ufunguzi wa Maonyesho ya Uchoraji picha za Utamaduni wa Italia 17 Oktoba, 2016 Jijini Dar es Salaam.
Katibu Mkuu Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Prof. Elisante Ole Gabriel (kulia) pamoja na Balozi wa Italia, Mhe. Roberto Mengoni wakijadiliana jambo mara baada ya Ufunguzi wa Maonyesho ya Uchoraji picha za Utamaduni wa Italia 17 Oktoba, 2016 Jijini Dar es Salaam.
Baadhi ya wageni waalikwa pamoja na watendajji wa Serikali wakifuatilia hotuba za Viongozi wakati wa Ufunguzi wa Maonyesho ya Uchoraji picha za Utamaduni wa Italia 17 Oktoba, 2016 Jijini Dar es Salaam.
Katibu Mkuu Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Prof. Elisante Ole Gabriel (kulia) akiangalia michoro mbalimbali ya picha za kiutamaduni wa Italia baada ya Ufunguzi wa Maonyesho ya Uchoraji picha za Utamaduni wa Italia 17 Oktoba, 2016 Jijini Dar es Salaam. (Picha zote na Benedict Liwenga-WHUSM)
MWENYEKITI wa chama cha waandishi wa habari mkoani Pwani, (CRPC),Ally Hengo akizungumza na waandishi wa habari wa mkoa huo .(picha na Mwamvua Mwinyi)
Mkuu wa wilaya ya Kibaha Assumpter Mshama, wa kwanza kushoto akionekana kumfosi mwandishi wa habari aliyesimama kulia, aombe msamaha kwenye mkutano wa hadhara kwa kosa la kuandika wilaya kutosimamia agizo la raisi la kufanya usafi. (Picha na Mwamvua Mwinyi)
CHAMA cha waandishi wa habari mkoani Pwani, (CRPC)kimeelezea kusikitishwa na kitendo kinachodaiwa kufanywa na mkuu wa wilaya ya Kibaha Assumpter Mshama, cha kumdhalilisha mwandishi wa habari katika mkutano wa hadhara eneo la Mailmoja.
Mkuu wa wilaya huyo alifanya kitendo hicho novemba 29 mwaka huu,baada ya mwandishi huyo wa gazeti moja la kila siku nchini kutoa habari ya agizo la zoezi la usafi Kibaha kupuuzwa.
Hengo alisema kutokana na tukio hilo uongozi na wanachama wa klabu ya waandishi wa habari mkoa imekutana na kulaani kitendo hicho.
Alitoa wito kwa viongozi kuacha kutumia njia za ubabe na udhalilishaji na badala yake watumie vyama vya wanahabari mikoani na kamati za maadili za chama hivyo ama kumpa onyo faragha mhusika.
Kwa upande wake mwandishi huyo anaedaiwa kudhalilishwa (Sanjito Msafiri) alisema kuwa mnamo novemba 29 alipigiwa simu na kisha kuitwa kwenye mkutano wa hadhara na mkuu huyo.
Alifafanua kuwa baada ya kufika mkutanoni ndipo alipokutana na kushambuliwa kwa maneno ,na kuitwa mbele ya meza kuu na kushinikizwa aombe radhi umati wote kwa kuandika habari hiyo.
"Nilikataa kuomba msamaha kwake na kwa wananchi kwa kuwa nilikuwa najua naamini nilichokiandika kipo sawa ,na hata yeye kama ni mkuu wa serikali hawezi kunilazimisha kuomba msamaha watu kwa kuingilia majukumu yangu"
Mwandishi huyo ,aliwaomba viongozi mbalimbali kuheshimu kazi ya uandishi wa habari bila kuwadharau waandishi wakati kwenye mambo yao huwa wakiwakimbilia.
Walisema tasnia hiyo ni muhimu na imeshawavusha wengi kufika walipo sasa hivyo kuna kila sababu ya kuheshimiana na kuwekeana mipaka.
Katika toleo la gazeti hilo novemba 29 mwaka huu kuliandikwa kuwa agizo la mheshimiwa rais la kufanya usafi kila mwezi kwasasa wilayani Kibaha linaonekana kutozingatiwa kutokana na kigezo cha kulipa faini .
Grm Production: Tanzania ya kwanza Afrika Mashariki katika usafiri wa mabasi yaendayo kasi-Waziri mkuu Mizengo Pinda
Tanzania ya kwanza Afrika Mashariki katika usafiri wa mabasi yaendayo kasi-Waziri mkuu Mizengo Pinda
Waziri mkuu Mizengo pinda ndiye alikuwa mgeni rasmi. Alifungua mkutano wa majadiliano wa kutangaza mradi wa mabasi yaendayo haraka kwenye ukumbi wa Mlimani city.
Mku wa Mkoa wa DSM akimpa maelezo Waziri wa nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa, Mhe Hawa Ghasia
Wadau na wawekezaji kwenye sekta ya Usafiri.
Kituo cha kigamboni cha mabasi yaendayo kasi
Wawekezaji wazawa!!!!kwenye sekta ya usafiri
Tanzania ya kwanza Afrika Mashariki katika usafiri...
Nice. Mama na Mwana
Waheshimiwa nao walikuweko. Safi sana.
Wazazi wa Bi Harusi mtarajiwa. Prof Mwette na Mkewe. Safi sana
First lady akipokelewa na wazazi wa bi Harusi. Safi sana
Kweli katika mchakato wa Vazi la taifa Nazani Kweli Mama Salam kikwete au First Lady inabidi awe kwenye kamati. Kwenye mambo ya mavazi pia nimtaalamu sana. Safi sana Mama Salma.
Bwana Harusi mtarajiwa akitambulishwa kwa wageni waalikwa.
Mambo ya msosi . Kweli kaka yangu Doglasi unatisha. Safi sana
Kamati ya Maandalizi ya Sherehe
Watu wakisali kuomba amani wakati ilipotimu saa 12:12:12, katika hafla iliyoitwa "Light Meeting" mjini Tama, magharibi mwa Tokyo leo Desemba 12, 2012, wakiadhimisha siku ya mwisho kwenye karne hii ambayo namba za tarehe zinatokea zikiwa zimefanana. Picha: REUTERS
Wanandoa wapya na viongozi wa tempo wakipozi kwa picha ya pamoja wakati wa ndoa ya pamoja iliyoandaliwa kwa ajili ya kuiwahi tarehe 12.12.12 mjini Kuala Lumpur, Malysia leo Desemba 12, 2012. Picha: REUTERS
Kamati ya Uchaguzi ya Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), imetangaza majina manane ya wagombea ambao yamepita katika mchujo wa awali kuwania nafasi mbalimbali katika Kamati ya Uongozi (Management Committee) ya Bodi ya Ligi Kuu Tanzania Bara.
Kwa mujibu wa kamati hiyo, Ramadhan Mahano na Hamisi Madaki wamepitishwa kuwania nafasi ya Ujumbe wakitokea klabu za Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara.
Wagombea kwa mujibu wa kanuni za uendeshaji wa Bodi ya Ligi Kuu ni marais au wenyeviti wa klabu husika. Wagombea wanatakiwa kuwa wenyeviti au Marais wa klabu husika.
Uchaguzi huo wa kamati hiyo utafanyika Jumapili Oktoba 15, 2017 jijini Dar es Salaam na unaendeshwa kwa mujibu wa kanuni za Uchaguzi za TFF toleo la 2013.
STAA wa Misri, Mohamed Salah, atakosa mchezo mmoja tu wa Kombe la Dunia baada ya hapo atakuwa fiti. Salah aliumia bega kwenye mchezo wa fainali ya Ligi ya Mabingwa Ulaya dhidi ya Real Madrid baada ya kuumizwa na Sergio Ramos. Hata hivyo, kulikuwa na hofu kuwa staa huyo atashindwa kucheza fainali hizo lakini sasa imefahamika kuwa atakwenda na kukosa ...
Leo October 9, 2018 Mhandisi wa Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO), Stanslaus Simbila amefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu akikabiliwa na kosa la kutumia madaraka yake vibaya ambayo yamepelekea Kampuni ya Zwart kupata kiasi cha EURO 491,622.42 sawa na BILIONI 1,293,248,789.
Inadaiwa kuwa kosa hilo ni kutumia madaraka yake vibaya, ambapo amelitenda kati ya June 9 na 19,2010.
Mshtakiwa aliachiwa kwa dhamana ya wadhamini 2, waliowasilisha hati ya Mali ya Sh.MIL 100. Kesi imeahirishwa hadi November 8,2018.
Ishu ni moja tu! baki ‘mule mule’ na Vodacom msimu huu wa Sikukuu (+video)
Raia wa China wahukumiwa miaka 30 jela ama faini ya shilingi bilioni 108.7
Raia wa China wahukumiwa miaka 30 jela ama faini ya shilingi bilioni 108.7 [IMG] Mahakama ya hakimu mkazi kisutu imewahukumu raia wawili wa...
Kwa haya matangazo ya nguvu za kiume tunayoyaona kila siku? Baadhi ya wanaume kwa kujitutumua jamani hahahaaahaha. Ila kweli bora kama kwingine kumekushinda, compensate tu kwenye ngono. A man who thinks maisha ya ndoa ni all about sex....Mungu tusaidie wanawake
Wazungu wana uaminifu flani kwa kiasi kikubwa sana!
Wao wanaishi kwa kanuni Kwenye mambo mengi!
Wanajua kupenda kwa moyo wao wote!
Nje ya ngono mnawaza kutafuta mwanamke mwingine kufanya ngono!
Mtoto wa Baba said: