url
stringlengths 22
56
| text
stringlengths 5
6.07k
|
---|---|
https://www.ccm.or.tz/home | Chama cha Mapinduzi kinapokea malipo ya ada kupitia mitandao ya simu ambapo mwanachama atalipa ada yake kwa kutumia Control number yake na Mtandao anaotaka kulipia, kwasasa utaweza kulipa ada kwa kupitia TigoPesa, M-pesa, Airtel Money, CRDB Bank, T-pesa
Pakua Nakala Hapa |

https://www.ccm.or.tz/ccm-kuhusu | Niwapongeze Umoja wa Wanawake Tanzania kwa mambo matatu makubwa; UWT imefanya kazi kubwa ya kutayarisha viongozi, kubadilisha mitazamo ya wanawake wa Tanzania na kusimama kwa ajili ya Chama Cha Mapinduzi.
Chama Cha Mapinduzi (CCM) kilianza rasmi Februari 5, 1977 kutokana na kuunganishwa vyama vya Tanganyika African National Union (TANU) kilichokuwa chama tawala Tanzania Bara, kikiongozwa na Rais wa Kwanza wa Tanzania, Mwalimu Julius Kambarage Nyerere na Chama cha Afro-Shirazi Party (ASP) kilichokuwa chama tawala Zanzibar kikiongozwa na Rais wa kwanza wa Zanzibar Sheikh Amaan Abeid Karume.Uchaguzi
CCM imekuwa ikishinda chaguzi za Urais toka mfumo wa vyama vingi uliporejeshwa nchini Tanzania huku pia kikipata idadi kubwa ya wabunge wa Bunge la Muungano na Baraza la Wawakilishi. Baada ya kurejeshwa kwa mfumo wa vyama vingi CCM imeendelea kuiongoza Tanzania kutokana na kushinda chaguzi zilizofanyika tangu1995. Viongozi walioweza kushinda kwa tiketi ya CCM kwenye chaguzi hizo ni Benjamin Mkapa,Jakaya Mrisho Kikwete na Dk. John Joseph Pombe Magufuli.
Viongozi walioshika Uenyekiti wa CCM miaka waliyoongoza ikiwa kwenye mabano, ni;
CCM inazo Jumuiya tatu ambazo zinafanyakazi kwa kuyaunganisha makundi ya Vijana (Umoja wa Vijana wa CCM), Wanawake (Umoja wa Wanawake Tanzania- UWT) na Jumuiya ya Wazazi Tanzania. Jumuiya hizi kila moja ina viongozi ambao moangilio wake unafanana na ule wa CCM yenyewe kuanzia ngazi ya Mwenyekiti Taifa hadi ngazi za matawi.
Niwapongeze Umoja wa Wanawake Tanzania kwa mambo matatu makubwa; UWT imefanya kazi kubwa ya kutayarisha viongozi, kubadilisha mitazamo ya wanawake wa Tanzania na kusimama kwa ajili ya Chama Cha Mapinduzi.
Ni ukweli usiopingika kwamba mchango wa mwanamke una nafasi muhimu katika uchumi, siasa na mustakabali wa Taifa, ukizingatia nafasi ya ulezi na ujenzi wa uchumi. |
https://www.ccm.or.tz/ccm-jisajili | Niwapongeze Umoja wa Wanawake Tanzania kwa mambo matatu makubwa; UWT imefanya kazi kubwa ya kutayarisha viongozi, kubadilisha mitazamo ya wanawake wa Tanzania na kusimama kwa ajili ya Chama Cha Mapinduzi.
Unaweza kutuma SMS/WhatsApp Namba Za Simu Zifuatazo 0734398138
Niwapongeze Umoja wa Wanawake Tanzania kwa mambo matatu makubwa; UWT imefanya kazi kubwa ya kutayarisha viongozi, kubadilisha mitazamo ya wanawake wa Tanzania na kusimama kwa ajili ya Chama Cha Mapinduzi.
Ni ukweli usiopingika kwamba mchango wa mwanamke una nafasi muhimu katika uchumi, siasa na mustakabali wa Taifa, ukizingatia nafasi ya ulezi na ujenzi wa uchumi. |
https://www.ccm.or.tz/ccm-idara | Niwapongeze Umoja wa Wanawake Tanzania kwa mambo matatu makubwa; UWT imefanya kazi kubwa ya kutayarisha viongozi, kubadilisha mitazamo ya wanawake wa Tanzania na kusimama kwa ajili ya Chama Cha Mapinduzi.
Idara ya Organaizesheni ni moja kati ya Idara nne za CCM. Idara hii imeanzishwa kwa mujibu wa Katiba ya CCM ya Mwaka 1977 Toleo la 2017 Ibara ya 107 (1).
Idara hii ndiyo injini ya Uendeshaji wa Chama kwani ndio Idara inayohusika na Masuala yote ya Wanachama; kwani Chama kisicho na Wanachama ni sawa na gunia tupu ambalo haliwezi kusimama. Idara hii ndio inayoshughulika na Vikao na Maamuzi ya vikao. Kwa kuwa Chama ni muungano wa watu wenye nia na malengo yanayofanana, hivyo watu hao wanaounganishwa na Itikadi yao hufikia maamuzi ya pamoja kupitia Vikao vyao. Kwenye Chama Cha Kidemokrasia kama CCM hakuna mtu mmoja mwenye uwezo wa kufanya maamuzi ya Chama nje ya vikao. Inatosha kusema, “Hakuna Chama bila Vikao”.
Idara ya Organaizesheni ndio inayosimamia Jumuiya za Chama na Sehemu ya Wazee. CCM ilianzisha Jumuiya za CCM ili ziwe ni mkondo wa kufikisha Sera zake na Siasa ya CCM kwenye Makundi yote ya Kijamii kwa upande mmoja, na kuwa mkondo wa kuitafutia CCM Marafiki na Wanachama kutoka kwnye makundi hayo kwa upande wa pili. CCM pia inathamini sana mchango wa Wazee katika maendeleo ya Taifa letu, ndio maana ikaanzisha sehemu ya Wazee ili kuwawezesha Wazee kurithisha kwa Taifa busara, hekima na ujasiri wao ndani ya Jamii. Wahenga walisema, “Isiyo kongwe, haivushi.”
Idara ya Organaizesheni ndio inayosimamia masuala yote ya uchaguzi wa ndani ya CCM na ule wa kushika Dola. Viongozi wa Cham a cha Kijamaa huchaguliwa kwa kura za wanachama na huongoza Chama kwa ridhaa yao. Lakini pia Chama chochote cha Siasa duniani lengo lake kuu huwa ni kushinda uchaguzi ili kushika dola na kuunda Serikali. Kwa kuwa toka Uhuru wa Tanganyika na Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar nchi hii imekuwa chini ya Uongozi madhubuti wa CCM, ndiyo kusema Idara hii imetimiza vema majukumu yake.
Idara ya Organaizesheni ndiyo inayosimamia Katiba Muundo Kanuni, na Taratibu za Chama na Jumuiya za CCM. Hii ndiyo kusema Idara hii ndiyo inayohakikisha wakati wote kuwa Katiba ya CCM, Kanuni zote za Chama na Jumuiya zake, Muundo wa Chama na Taratibu mbalimbali zikiwemo taratibu za Sehemu ya Wazee zinakiwezesha Chama kutekeleza madhumuni ya kuundwa kwake. Idara hii ndio hufanya marekebisho ya miongozo hii kwa mujibu wa mahitaji ya Chama kwa wakati husika. Bila shaka utaona kuwa utulivu uliopo CCM ukilinganisha vyama vingine vya Siasa hapa nchini unatokana na utekelezaji mzuri wa wajibu huu.
Hii ndio sababu tukasema Idara hii ndiyo injini ya Chama. Kwani Gari lisilo na injini linawezaje kusafiri?
Idara ya Uchumi na Fedha ni miongoni mwa Idara tano za Chama cha Mapinduzi zinazoongozwa na Sekretarieti ya Halmashauri Kuu ya CCM ya Taifa ambazo zimeundwa kwa mujibu wa Ibara ya 105 ya Katiba ya CCM ya Mwaka 1977, Toleo la 2017. Idara hii inaongozwa na Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM ya Taifa wa Uchumi na Fedha ambaye ni Dkt. Frank George Haule Hawassi.
Majukumu ya msingi ya Idara yameainishwa na kutajwa bayana kwenye Ibara ya 107(4) (a)-(e) ya Katiba ya CCM, kama ifuatavyo:
Ili kurahisisha na kuleta ufanisi wa utendaji kazi za Chama, muundo wa Idara ya Uchumi na Fedha umegawanywa katika vitengo vitatu muhimu ambapo kila kitengo kimegawanywa pia katika sehemu (Sections) na kupangiwa majukumu mahsusi ya kila siku ya kusimamia, kufuatilia na kutekeleza. Vitengo vya Idara ni hivi vifuatavyo:
Pamoja na majukumu ya Kiidara, Idara pia inayo majukumu mengine ya msingi ya kusimamia na kuratibu shughuli zote za Baraza la Wadhamini wa CCM kwa niaba ya Katibu Mkuu wa CCM zikiwemo shughuli za vikao, usimamizi na ufuatiliaji wa utekelezaji wa maazimio ya vikao vya Baraza la Wadhamini wa Chama Cha Mapinduzi.
Kwa kuzingatia utajiri mkubwa Chama kilionao hususan katika eneo la Rasilimali Ardhi na Rasilimali Wanachama, Idara ya Uchumi na Fedha ina wajibu wa msingi wa kuhakikisha rasilimali hizi zinatumika kikamilifu katika kukiimarisha Chama kiuchumi na kimapato hatua ambayo itakiwezesha Chama kuhudumia kwa ufanisi majukumu yake ya kisiasa na uendeshaji wa Ofisi.
Idara ya mambo ya Siasa na Uhusiano wa Kimataifa ni moja kati ya Idara za CCM Makao Makuu inayoundwa na Ibara ya 107 kifungu cha 3 ya Katiba ya CCM ya mwaka 1977 Toleo la 2017.
Idara hii inafahamika zaidi kama idara inayoshughulika na kujenga uhusiano wa kimataifa, hata hivyo ukweli ni kwamba idara hii inashughulikia mambo mengi na muhimu ndani ya nchi yanayojenga taswira njema ya CCM kwa wananchi. Kwa kifupi tunasema, idara hii inajihusisha na kazi za Chama nje ya Chama ndani ya Umma.
Kwa mujibu wa Katiba ya Chama Cha Mapinduzi, Idara ya Mambo ya Siasa na Uhusiano wa Kimataifa inajukumu la msingi la kufuatilia hali ya Kisiasa Nchini. Kwa lugha nyepesi ina kazi ya kufuatia hali ya maisha ya wananchi wa Tanzania, kijamii na kiuchumi kwa ujumla.
Idara hii pia ndiyo yenye jukumu la kufuatilia utekelezaji wa Ilani ya Uchaguzi ya CCM Nchini, kuona kwamba tumefanikiwa kwa kiasi gani kutekeleza Ilani yetu, ni kwa kiasi gani tumeondoa kero na changamoto zinazowakabili wananchi wetu na kukishauri Chama namna ya kukabiliana nazo. Ukiacha mbali jukumu la kufuatilia maendeleo ya Jumuiya za Kijamii nchini, na kushughulikia na kusimamia masuala ya Itifaki ndani ya Chama, Jukumu lingine kubwa na muhimu la Idara hii ni kuratibu uhusiano na ushirikiano wa CCM na Vyama vya Siasa vya Kidugu , Kirafiki na vya Kimapinduzi. Aidha, Idara ina jukumu la kufuatilia hali ya kisiasa katika nchi jirani na nchi nyinginezo duniani na kufuatilia maendeleo ya kijamii ya Kamati za Urafiki na Mshikamano kati ya Watanzania na wananchi wa nchi Rafiki.
Niwapongeze Umoja wa Wanawake Tanzania kwa mambo matatu makubwa; UWT imefanya kazi kubwa ya kutayarisha viongozi, kubadilisha mitazamo ya wanawake wa Tanzania na kusimama kwa ajili ya Chama Cha Mapinduzi.
Ni ukweli usiopingika kwamba mchango wa mwanamke una nafasi muhimu katika uchumi, siasa na mustakabali wa Taifa, ukizingatia nafasi ya ulezi na ujenzi wa uchumi. |
https://www.ccm.or.tz/ccm-nyaraka | Niwapongeze Umoja wa Wanawake Tanzania kwa mambo matatu makubwa; UWT imefanya kazi kubwa ya kutayarisha viongozi, kubadilisha mitazamo ya wanawake wa Tanzania na kusimama kwa ajili ya Chama Cha Mapinduzi.
|#||Jina||Link||Size||Tarehe|
Niwapongeze Umoja wa Wanawake Tanzania kwa mambo matatu makubwa; UWT imefanya kazi kubwa ya kutayarisha viongozi, kubadilisha mitazamo ya wanawake wa Tanzania na kusimama kwa ajili ya Chama Cha Mapinduzi.
Ni ukweli usiopingika kwamba mchango wa mwanamke una nafasi muhimu katika uchumi, siasa na mustakabali wa Taifa, ukizingatia nafasi ya ulezi na ujenzi wa uchumi. |
https://www.ccm.or.tz/ccm-taarifa-wabunge | Niwapongeze Umoja wa Wanawake Tanzania kwa mambo matatu makubwa; UWT imefanya kazi kubwa ya kutayarisha viongozi, kubadilisha mitazamo ya wanawake wa Tanzania na kusimama kwa ajili ya Chama Cha Mapinduzi.
|#.||Jina Kamili||Simu||Aina||Anuani||Jimbo|
Niwapongeze Umoja wa Wanawake Tanzania kwa mambo matatu makubwa; UWT imefanya kazi kubwa ya kutayarisha viongozi, kubadilisha mitazamo ya wanawake wa Tanzania na kusimama kwa ajili ya Chama Cha Mapinduzi.
Ni ukweli usiopingika kwamba mchango wa mwanamke una nafasi muhimu katika uchumi, siasa na mustakabali wa Taifa, ukizingatia nafasi ya ulezi na ujenzi wa uchumi. |
https://mwanachama.ccm.or.tz/login | Ingia katika akaunti yako
Hauna namba ya kielektroniki?
Ili kufurahia huduma za mtandao kupitia Portal yetu ya Huduma ya Wanachama, mwanachama anatakiwa kujiandikisha na kupata namba ya kielektroniki ili kuwezesha kuangalia taarifa zake za uwanachama na malipo yake ya ada.Jisajili
Msaada
Wasiliana nasi kwa kupitia njia hizi
- Barua pepe: [email protected]
- Anuani: S.L.P 50 Dodoma
- Tel: +255-26-2322982
- Fax: +255-26-2322965 |
https://semana.ccm.or.tz/ | CCM - Chama Cha Mapinduzi
[email protected]
Simu : +255 26 23 22965
Muda Wa Kazi: 24/7
Tafuta
Home
Kuhusu
Jisajili
Idara
Nyaraka
CCM Zanzibar
Blog
Ofisi
Sema na CCM
Swahili
English
Facebook
Twitter
Login
MANENO YALIYOTAFUTWA MARA KWA MARA
Ilani
KATIBU
Mwenyekiti Wa Chama
Kwanini CCM Chama Imara
Ushindi wa CCM
Iambie
CCM,
inakusikiliza . . !
Unaweza kuwasilisha kero yako, maulizo au pongezi kwenda CCM, kwa kubofya hapo chini.
Tuma Kero
Tuma Pongezi
Uliza
Fuatilia |
https://www.ccm.or.tz/ccm-deni | Niwapongeze Umoja wa Wanawake Tanzania kwa mambo matatu makubwa; UWT imefanya kazi kubwa ya kutayarisha viongozi, kubadilisha mitazamo ya wanawake wa Tanzania na kusimama kwa ajili ya Chama Cha Mapinduzi.
Unaweza kutuma SMS/WhatsApp Namba Za Simu Zifuatazo 0734398138
Niwapongeze Umoja wa Wanawake Tanzania kwa mambo matatu makubwa; UWT imefanya kazi kubwa ya kutayarisha viongozi, kubadilisha mitazamo ya wanawake wa Tanzania na kusimama kwa ajili ya Chama Cha Mapinduzi.
Ni ukweli usiopingika kwamba mchango wa mwanamke una nafasi muhimu katika uchumi, siasa na mustakabali wa Taifa, ukizingatia nafasi ya ulezi na ujenzi wa uchumi. |
https://www.facebook.com/tanzaniaccm | Chama Cha Mapinduzi | Dodoma |
https://twitter.com/ccm_tanzania | x.com |
https://www.youtube.com/channel/UC5CscEEkL6slfcdtSgTWjcQ | Kuhusu
Vyombo vya habari
Hakimiliki
Wasiliana nasi
Watayarishi
Tangaza
Wasanidi Programu
Sheria na Masharti
Faragha
Sera na Usalama
YouTube Inavyofanya Kazi
Jaribu vipengele vipya
© 2024 Google LLC |
https://www.ccm.or.tz/home | Chama cha Mapinduzi kinapokea malipo ya ada kupitia mitandao ya simu ambapo mwanachama atalipa ada yake kwa kutumia Control number yake na Mtandao anaotaka kulipia, kwasasa utaweza kulipa ada kwa kupitia TigoPesa, M-pesa, Airtel Money, CRDB Bank, T-pesa
Pakua Nakala Hapa |
https://www.ccm.or.tz/home | Chama cha Mapinduzi kinapokea malipo ya ada kupitia mitandao ya simu ambapo mwanachama atalipa ada yake kwa kutumia Control number yake na Mtandao anaotaka kulipia, kwasasa utaweza kulipa ada kwa kupitia TigoPesa, M-pesa, Airtel Money, CRDB Bank, T-pesa
Pakua Nakala Hapa |
https://www.facebook.com/tanzaniaccm | Chama Cha Mapinduzi | Dodoma |
https://twitter.com/ccm_tanzania | x.com |
https://www.youtube.com/channel/UC5CscEEkL6slfcdtSgTWjcQ | Kuhusu
Vyombo vya habari
Hakimiliki
Wasiliana nasi
Watayarishi
Tangaza
Wasanidi Programu
Sheria na Masharti
Faragha
Sera na Usalama
YouTube Inavyofanya Kazi
Jaribu vipengele vipya
© 2024 Google LLC |
https://www.ccm.or.tz/#carouselExampleIndicators | Chama cha Mapinduzi kinapokea malipo ya ada kupitia mitandao ya simu ambapo mwanachama atalipa ada yake kwa kutumia Control number yake na Mtandao anaotaka kulipia, kwasasa utaweza kulipa ada kwa kupitia TigoPesa, M-pesa, Airtel Money, CRDB Bank, T-pesa

https://www.youtube.com/watch?v=HqEDR7hcdsM | Kuhusu
Vyombo vya habari
Hakimiliki
Wasiliana nasi
Watayarishi
Tangaza
Wasanidi Programu
Sheria na Masharti
Faragha
Sera na Usalama
YouTube Inavyofanya Kazi
Jaribu vipengele vipya
© 2024 Google LLC |
https://www.ccm.or.tz/habari/post/soma-zaidi/J7v | Niwapongeze Umoja wa Wanawake Tanzania kwa mambo matatu makubwa; UWT imefanya kazi kubwa ya kutayarisha viongozi, kubadilisha mitazamo ya wanawake wa Tanzania na kusimama kwa ajili ya Chama Cha Mapinduzi.
NAIBU KATIBU MKUU CCM-BARA AFANYA MAZUNGUMZO NA KANSELA KUTOKA UBALOZI WA NORWAY TANZANIA

Naibu Katibu Mkuu wa CCM Bara Ndg.John Mongella amekutana na kufanya mazungumzo na Kansela kutoka Ubalozi wa Norway Ndg.Ingrid Norstein kwenye Ofisi za Makao Makuu ya CCM Jijini Dodoma leo tarehe 09 Oktoba,2024
Niwapongeze Umoja wa Wanawake Tanzania kwa mambo matatu makubwa; UWT imefanya kazi kubwa ya kutayarisha viongozi, kubadilisha mitazamo ya wanawake wa Tanzania na kusimama kwa ajili ya Chama Cha Mapinduzi.
Ni ukweli usiopingika kwamba mchango wa mwanamke una nafasi muhimu katika uchumi, siasa na mustakabali wa Taifa, ukizingatia nafasi ya ulezi na ujenzi wa uchumi. |
https://www.ccm.or.tz/habari/post/soma-zaidi/J7v | Niwapongeze Umoja wa Wanawake Tanzania kwa mambo matatu makubwa; UWT imefanya kazi kubwa ya kutayarisha viongozi, kubadilisha mitazamo ya wanawake wa Tanzania na kusimama kwa ajili ya Chama Cha Mapinduzi.
NAIBU KATIBU MKUU CCM-BARA AFANYA MAZUNGUMZO NA KANSELA KUTOKA UBALOZI WA NORWAY TANZANIA
NAIBU KATIBU MKUU CCM-BARA AFANYA MAZUNGUMZO NA KANSELA KUTOKA UBALOZI WA NORWAY TANZANIA
Naibu Katibu Mkuu wa CCM Bara Ndg.John Mongella amekutana na kufanya mazungumzo na Kansela kutoka Ubalozi wa Norway Ndg.Ingrid Norstein kwenye Ofisi za Makao Makuu ya CCM Jijini Dodoma leo tarehe 09 Oktoba,2024
Niwapongeze Umoja wa Wanawake Tanzania kwa mambo matatu makubwa; UWT imefanya kazi kubwa ya kutayarisha viongozi, kubadilisha mitazamo ya wanawake wa Tanzania na kusimama kwa ajili ya Chama Cha Mapinduzi.
Ni ukweli usiopingika kwamba mchango wa mwanamke una nafasi muhimu katika uchumi, siasa na mustakabali wa Taifa, ukizingatia nafasi ya ulezi na ujenzi wa uchumi. |
https://www.ccm.or.tz/habari/post/soma-zaidi/J7v | Niwapongeze Umoja wa Wanawake Tanzania kwa mambo matatu makubwa; UWT imefanya kazi kubwa ya kutayarisha viongozi, kubadilisha mitazamo ya wanawake wa Tanzania na kusimama kwa ajili ya Chama Cha Mapinduzi.
NAIBU KATIBU MKUU CCM-BARA AFANYA MAZUNGUMZO NA KANSELA KUTOKA UBALOZI WA NORWAY TANZANIA
NAIBU KATIBU MKUU CCM-BARA AFANYA MAZUNGUMZO NA KANSELA KUTOKA UBALOZI WA NORWAY TANZANIA
Naibu Katibu Mkuu wa CCM Bara Ndg.John Mongella amekutana na kufanya mazungumzo na Kansela kutoka Ubalozi wa Norway Ndg.Ingrid Norstein kwenye Ofisi za Makao Makuu ya CCM Jijini Dodoma leo tarehe 09 Oktoba,2024
Niwapongeze Umoja wa Wanawake Tanzania kwa mambo matatu makubwa; UWT imefanya kazi kubwa ya kutayarisha viongozi, kubadilisha mitazamo ya wanawake wa Tanzania na kusimama kwa ajili ya Chama Cha Mapinduzi.
Ni ukweli usiopingika kwamba mchango wa mwanamke una nafasi muhimu katika uchumi, siasa na mustakabali wa Taifa, ukizingatia nafasi ya ulezi na ujenzi wa uchumi. |
https://www.ccm.or.tz/habari/post/soma-zaidi/GQ3 | Niwapongeze Umoja wa Wanawake Tanzania kwa mambo matatu makubwa; UWT imefanya kazi kubwa ya kutayarisha viongozi, kubadilisha mitazamo ya wanawake wa Tanzania na kusimama kwa ajili ya Chama Cha Mapinduzi.
KISHINDO CHA SHINYANGA MAPOKEZI YA NCHIMBI

Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dkt. Emmanuel John Nchimbi amewasili na kupokelewa rasmi Mkoa wa Shinyanga, leo tarehe 9 Oktoba 2024, tayari kuanza ziara ya siku tatu katika maeneo mbalimbali ya wilaya za mkoa huo.
Balozi Nchimbi ambaye ameambatana na Katibu wa NEC - Itikadi, Uenezi na Mafunzo, Ndugu Amos Gabriel Makalla na Katibu wa Siasa na Uhusiano wa Kimataifa (Suki), Ndugu Rabia Hamid Abdalla, ameingia Shinyanga akitokea Mkoa wa Simiyu, ikiwa ni mwendelezo wa ziara ya kukagua utekelezaji wa Ilani ya Uchaguzi ya CCM ya 2020 - 2025, kusikiliza kero na changamoto za wananchi kisha kuzitafutia majawabu na kuhamasisha uimara wa CCM kuanzia ngazi ya mashina.

https://www.ccm.or.tz/habari/post/soma-zaidi/E64 | Niwapongeze Umoja wa Wanawake Tanzania kwa mambo matatu makubwa; UWT imefanya kazi kubwa ya kutayarisha viongozi, kubadilisha mitazamo ya wanawake wa Tanzania na kusimama kwa ajili ya Chama Cha Mapinduzi.
KATIBU MKUU CCM AKIZUNGUMZA NA WANANCHI WA MASWA
MASWA
Wananchi na wanachama wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) katika Mji wa Maswa wakifuatilia na kushiriki kwa makini mkutano wa Katibu Mkuu wa CCM, Balozi Dkt. Emmanuel John Nchimbi, katika Viwanja vya Madeco mjini hapo, leo tarehe 8 Oktoba 2024.
Balozi Nchimbi, ambaye ameambatana na Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa (NEC), Itikadi, Uenezi na Mafunzo, Ndugu Amos Gabriel Makalla, pamoja na Katibu wa NEC - Siasa na Uhusiano wa Kimataifa, Ndugu Rabia Abdallah Hamid, yuko katika ziara ya siku tatu katika Mkoa wa Simiyu, aliyoianza tarehe 6 Oktoba, mwaka huu.

https://www.ccm.or.tz/habari/post/soma-zaidi/DJ5 | Niwapongeze Umoja wa Wanawake Tanzania kwa mambo matatu makubwa; UWT imefanya kazi kubwa ya kutayarisha viongozi, kubadilisha mitazamo ya wanawake wa Tanzania na kusimama kwa ajili ya Chama Cha Mapinduzi.
SIMIYU NA CCM, NCHIMBI AKIWASILI ITILIMA
Mapokezi makubwa wananchi na wanaCCM wa Itilima wakimpatia mapokezi makubwa Katibu Mkuu Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dkt. Emmanuel John Nchimbi alipowasili eneo la Lugulu kwa ajili ya kuwasalimia, akiwa njiani kuelekea wilayani Maswa, leo tarehe 8 Oktoba 2024, ikiwa ni siku ya tatu ya ziara yake ya kikazi Mkoa wa Simiyu, ambayo ameambatana na Katibu wa NEC - Itikadi, Uenezi na Mafunzo, Ndugu Amos Makalla na Katibu wa NEC - Siasa na Uhusiano wa Kimataifa, Ndugu Rabia Abdalla Hamid.

https://www.ccm.or.tz/habari/post/soma-zaidi/BRW | Niwapongeze Umoja wa Wanawake Tanzania kwa mambo matatu makubwa; UWT imefanya kazi kubwa ya kutayarisha viongozi, kubadilisha mitazamo ya wanawake wa Tanzania na kusimama kwa ajili ya Chama Cha Mapinduzi.
DKT NCHIMBI AKIZUNGUMZA NA WANANCHI WA MWANDOYA-KISESA
Wananchi wa Kata ya Mwandoya, Jimbo la Kisesa, Wilaya ya Meatu, mkoani Simiyu, wakimsikiliza Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dkt. Emmanuel John Nchimbi, alipokuwa akizungumzia masuala na hoja mbalimbali kutoka kwa wawakilishi wao, Ndugu Basu Kayungilo, Diwani wa Kata ya Mwandoya na Ndugu Luhaga Mpina, Mbunge wa Kisesa, leo tarehe 7 Oktoba 2024. Balozi Nchimbi alisimama Mwandoya kuwasalimia wakazi wa eneo hilo na kuzungumza nao masuala ya maendeleo yanayohusu jimbo hilo la Kisesa, akiwa njiani kuelekea Mwanhuzi, Meatu, ambapo ni mwendelezo wa ziara yake ya siku 3, mkoani humo.

https://www.ccm.or.tz/habari/post/soma-zaidi/A9p | Niwapongeze Umoja wa Wanawake Tanzania kwa mambo matatu makubwa; UWT imefanya kazi kubwa ya kutayarisha viongozi, kubadilisha mitazamo ya wanawake wa Tanzania na kusimama kwa ajili ya Chama Cha Mapinduzi.
DKT NCHIMBI AHANI MSIBA WA ALIYEKUWA MWENYEKITI WA CCM BARIADI
Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dkt. Emmanuel John Nchimbi, akiambatana na Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa (NEC), Itikadi, Uenezi na Mafunzo, Ndugu Amos Gabriel Makalla na Katibu wa NEC - Siasa na Uhusiano wa Kimataifa, Ndugu Rabia Hamid Abdalla, amefika kuwapatia pole familia ya Bi. Juliana Wilemahongo, aliyefariki dunia tarehe 15 Septemba 2024. Bi Wilemahongo hadi anafikwa na mauti, alikuwa ndiye Mwenyekiti wa CCM Wilaya ya Bariadi, akiwa amejitolea kutumikia nafasi hiyo ya uongozi kwa vipindi vitatu.

https://www.ccm.or.tz/ccm-jisajili-mwanachama | Niwapongeze Umoja wa Wanawake Tanzania kwa mambo matatu makubwa; UWT imefanya kazi kubwa ya kutayarisha viongozi, kubadilisha mitazamo ya wanawake wa Tanzania na kusimama kwa ajili ya Chama Cha Mapinduzi.
Unaweza kutuma SMS/WhatsApp Namba Za Simu Zifuatazo 0734398138
Niwapongeze Umoja wa Wanawake Tanzania kwa mambo matatu makubwa; UWT imefanya kazi kubwa ya kutayarisha viongozi, kubadilisha mitazamo ya wanawake wa Tanzania na kusimama kwa ajili ya Chama Cha Mapinduzi.
Ni ukweli usiopingika kwamba mchango wa mwanamke una nafasi muhimu katika uchumi, siasa na mustakabali wa Taifa, ukizingatia nafasi ya ulezi na ujenzi wa uchumi. |
https://mwanachama.ccm.or.tz/login | Ingia katika akaunti yako
Hauna namba ya kielektroniki?
Ili kufurahia huduma za mtandao kupitia Portal yetu ya Huduma ya Wanachama, mwanachama anatakiwa kujiandikisha na kupata namba ya kielektroniki ili kuwezesha kuangalia taarifa zake za uwanachama na malipo yake ya ada.Jisajili
Msaada
Wasiliana nasi kwa kupitia njia hizi
- Barua pepe: [email protected]
- Anuani: S.L.P 50 Dodoma
- Tel: +255-26-2322982
- Fax: +255-26-2322965 |
https://www.youtube.com/channel/UC5CscEEkL6slfcdtSgTWjcQ | Kuhusu
Vyombo vya habari
Hakimiliki
Wasiliana nasi
Watayarishi
Tangaza
Wasanidi Programu
Sheria na Masharti
Faragha
Sera na Usalama
YouTube Inavyofanya Kazi
Jaribu vipengele vipya
© 2024 Google LLC |
https://semana.ccm.or.tz/ | CCM - Chama Cha Mapinduzi
[email protected]
Simu : +255 26 23 22965
Muda Wa Kazi: 24/7
Tafuta
Home
Kuhusu
Jisajili
Idara
Nyaraka
CCM Zanzibar
Blog
Ofisi
Sema na CCM
Swahili
English
Facebook
Twitter
Login
MANENO YALIYOTAFUTWA MARA KWA MARA
Ilani
KATIBU
Mwenyekiti Wa Chama
Kwanini CCM Chama Imara
Ushindi wa CCM
Iambie
CCM,
inakusikiliza . . !
Unaweza kuwasilisha kero yako, maulizo au pongezi kwenda CCM, kwa kubofya hapo chini.
Tuma Kero
Tuma Pongezi
Uliza
Fuatilia |
https://www.ccm.or.tz/ccm-deni | Niwapongeze Umoja wa Wanawake Tanzania kwa mambo matatu makubwa; UWT imefanya kazi kubwa ya kutayarisha viongozi, kubadilisha mitazamo ya wanawake wa Tanzania na kusimama kwa ajili ya Chama Cha Mapinduzi.
Unaweza kutuma SMS/WhatsApp Namba Za Simu Zifuatazo 0734398138
Niwapongeze Umoja wa Wanawake Tanzania kwa mambo matatu makubwa; UWT imefanya kazi kubwa ya kutayarisha viongozi, kubadilisha mitazamo ya wanawake wa Tanzania na kusimama kwa ajili ya Chama Cha Mapinduzi.
Ni ukweli usiopingika kwamba mchango wa mwanamke una nafasi muhimu katika uchumi, siasa na mustakabali wa Taifa, ukizingatia nafasi ya ulezi na ujenzi wa uchumi. |
https://www.youtube.com/channel/UC5CscEEkL6slfcdtSgTWjcQ | Kuhusu
Vyombo vya habari
Hakimiliki
Wasiliana nasi
Watayarishi
Tangaza
Wasanidi Programu
Sheria na Masharti
Faragha
Sera na Usalama
YouTube Inavyofanya Kazi
Jaribu vipengele vipya
© 2024 Google LLC |
https://www.youtube.com/channel/UC5CscEEkL6slfcdtSgTWjcQ | Kuhusu
Vyombo vya habari
Hakimiliki
Wasiliana nasi
Watayarishi
Tangaza
Wasanidi Programu
Sheria na Masharti
Faragha
Sera na Usalama
YouTube Inavyofanya Kazi
Jaribu vipengele vipya
© 2024 Google LLC |
https://www.youtube.com/channel/UC5CscEEkL6slfcdtSgTWjcQ | Kuhusu
Vyombo vya habari
Hakimiliki
Wasiliana nasi
Watayarishi
Tangaza
Wasanidi Programu
Sheria na Masharti
Faragha
Sera na Usalama
YouTube Inavyofanya Kazi
Jaribu vipengele vipya
© 2024 Google LLC |
https://www.ccm.or.tz/home | Chama cha Mapinduzi kinapokea malipo ya ada kupitia mitandao ya simu ambapo mwanachama atalipa ada yake kwa kutumia Control number yake na Mtandao anaotaka kulipia, kwasasa utaweza kulipa ada kwa kupitia TigoPesa, M-pesa, Airtel Money, CRDB Bank, T-pesa
Pakua Nakala Hapa |
https://www.ikulu.go.tz/ | Hotuba
Taarifa kwa Vyombo vya Habari
Habari Mpya
- Sep 24, 2023
ZIARA YA MHE. RAIS SAMIA SULUHU HASSAN MIKOA YA LINDI NA MTWARASoma zaidi
- Feb 20, 2023
RAIS SAMIA ASHIRIKI MKUTANO WA 36 WA UMOJA WA AFRIKA (AU) JIJINI ADDIS ABABA NCHINI ETHIOPIA TAREHE 17-19 FEBRUARI, 2023Soma zaidi
- Oct 21, 2022
WASILISHO LA MWENYEKITI WA KIKOSI KAZI KWA RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA, MHE. SAMIA SULUHU HASSAN TAREHE 21 OKTOBA, 2022Soma zaidi
- Oct 20, 2022
RAIS SAMIA AFANYA ZIARA YA KIKAZI MIKOA YA GEITA NA KIGOMA KUANZIA TAREHE 15 – 18 OKTOBA, 2022Soma zaidi |
https://mwanachama.ccm.or.tz/login | Ingia katika akaunti yako
Hauna namba ya kielektroniki?
Ili kufurahia huduma za mtandao kupitia Portal yetu ya Huduma ya Wanachama, mwanachama anatakiwa kujiandikisha na kupata namba ya kielektroniki ili kuwezesha kuangalia taarifa zake za uwanachama na malipo yake ya ada.Jisajili
Msaada
Wasiliana nasi kwa kupitia njia hizi
- Barua pepe: [email protected]
- Anuani: S.L.P 50 Dodoma
- Tel: +255-26-2322982
- Fax: +255-26-2322965 |
https://www.nec.go.tz/ | Lugha
KISWAHILI
ENGLISH
Mandhari
Mwanga
Giza
Maandishi
Madogo
Wastani
Makubwa
Maswali
Barua Pepe
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi
Kuhusu Sisi
Wajumbe wa Tume
Dira na Dhima
Maadili ya msingi
Utawala
Muundo wa Taasisi
Historia ya INEC
Uchaguzi
Mifumo ya Uchaguzi
Mzunguko wa Uchaguzi
Matokeo ya Uchaguzi
Taarifa za Uchaguzi
Daftari la Wapiga Kura
Uboreshaji wa Daftari la Wapiga Kura
Uwekaji Wazi Daftari la Awali
Taarifa za Uboreshaji
Kituo cha Habari
Habari
Taarifa kwa Umma
Hotuba
Maktaba ya Picha
Maktaba ya Video
INEC-TZ Online TV
Machapisho
Sheria za Uchaguzi
Kanuni za Uchaguzi
Maadili ya Uchaguzi
Miongozo ya Uchaguzi
Maelekezo ya Uchaguzi
Mpango Mkakati wa INEC 2021/2022-2025/2026
Jarida la Uchaguzi
Watazamaji
Muongozo wa Watazamaji
Mfumo wa Usajili wa Watazamaji
Ripoti za Watazamaji
Zabuni
Zabuni za Ndani
Zabuni za Kimataifa
Wazabuni Walioshinda
Wasiliana Nasi
Wasiliana Nasi
Mengineyo
KISWAHILI
ENGLISH
Mwanga
Giza
Nifanyaje?
Kujiandikisha kuwa Mpiga Kura
Kupata Kadi Iliyopotea
Kupiga Kura
Angalia Zaidi
Mrejesho
Jiunge
Wapiga Kura
Elimu ya Mpiga Kura
Wagombea
Kituo cha Habari
Uchaguzi
Taarifa Mpya :
Watendaji wa uboreshaji wa Daftari Zanzibar watakiwa kuzingatia Katiba ya nchi, sheria za Uchaguzi kutekeleza majukumu yao
Watendaji wa uboreshaji Zanzibar watakiwa kuzingatia weledi kufanikisha uboreshaji wa Daftari visiwani Zanzibar
Uboreshaji Daftari la wapiga kura Zanzibar kufanyika tarehe 7 hadi 13 Oktoba, 2024
Mhe. Jaji wa Rufaa Jacobs Mwambegele
Mwenyekiti wa Tume
Kazi inaendelea.....
Soma zaidi
Mhe. Jaji wa Rufaa (Mst) Mbarouk Salim Mbarouk
Makamu Mwenyekiti
Ndg. Ramadhani Kailima
Mkurugenzi wa Uchaguzi (Katibu wa Tume)
Kazi inaendelea.....
Soma zaidi
Wajumbe wa Tume
Mhe. Jaji Rufaa Jacobs Mwambegele
Mjumbe wa Tume
Mhe. Jaji Rufaa Mst. Mbarouk Salim Mbarouk
Mjumbe wa Tume
Mhe. Jaji wa Mahakama Kuu Asina A. Omari
Mjumbe wa Tume
Mhe. Balozi Omar Ramadhani Mapuri
Mjumbe wa Tume
Mhe. Magdalena Kamugisha Rwebangira
Mjumbe wa Tume
Mhe. Jaji Rufaa Mwanaisha Athuman Kwariko
Mjumbe wa Tume
Mhe. Dkt. Zakia Mohamed Abubakar
Mjumbe wa Tume
Habari Mpya
Vyombo vya Habari
Machapisho
Tangazo
Watendaji wa uboreshaji wa Daftari Zanzibar watakiwa kuzingatia Katiba ya nchi, sheria za Uchaguzi kutekeleza majukumu yao
02 Oct, 2024
Watendaji wa uboreshaji Zanzibar watakiwa kuzingatia weledi kufanikisha uboreshaji wa Daftari visiwani Zanzibar
02 Oct, 2024
Uboreshaji Daftari la wapiga kura Zanzibar kufanyika tarehe 7 hadi 13 Oktoba, 2024
30 Sep, 2024
RC Singida Mhe. Dendego awaongoza wananchi kushiriki katika Uboreshaji wa Daftari la Kudumu la Wapiga Kura
26 Sep, 2024
RC Dodoma awataka wakazi wa Dodoma kujiandikisha au kuboresha taarifa zao mapema kwenye Daftari la Kudumu la Wapiga Kura
26 Sep, 2024
Tazama Zaidi
19 Jul, 2024
Tume yaruhusu wapiga kura kutumia simu ya kiswaswadu kuboresha au kuhamisha taarifa zao kwenye Daftari
25 Jun, 2024
Tume yatoa vibali kwa asasi 157 kutoa elimu ya mpiga kura na uangalizi kwa asasi 34 wakati wa uboreshaji wa Daftari Mwaka 2024/2025
17 May, 2024
Mwaliko kwa taasisi na asasi za kiraia kutoa Elimu ya Mpiga Kura wakati wa Uboreshaji wa Daftari La Kudumu La Wapiga Kura Mwaka 2024
17 May, 2024
Mwaliko wa Waangalizi wa Ndani wa Uandikishaji wa Wapiga Kura
11 May, 2024
Tume yatoa vibali kwa asasi 4 za kuangalia na kutoa Elimu ya Mpiga Kura Uchaguzi Mdogo Kwahani
Tazama Zaidi
20 Aug, 2024
Jarida la Uchaguzi Toleo la Agosti, 2024
15 Aug, 2024
Uboreshaji wa Daftari la Kudumu la Wapiga Kura katika Mikoa ya Mwanza na Shinyanga kuanzia tarehe 21 hadi 27 Agosti, 2024
15 Jul, 2024
Mwongozo wa Elimu ya Mpiga Kura wa Uboreshaji wa Daftari la Kudumu la Wapiga Kura wa Mwaka 2024
14 Aug, 2024
Tangazo la Nafasi za Kazi za Uboreshaji Zanzibar
20 Jul, 2024
Maelezo ya Mwenyekiti wa Tume Huru wakati wa Uzinduzi wa Uboreshaji wa Daftari la Kudumu la Wapiga Kura tarehe 20 Julai, 2024 Mkoani Kigoma
Tazama Zaidi
15 Aug, 2024
Uboreshaji wa Daftari la Kudumu la Wapiga Kura katika Mikoa ya Mwanza na Shinyanga kuanzia tarehe 21 hadi 27 Agosti, 2024
14 Aug, 2024
Tangazo la Nafasi za Kazi za Uboreshaji Zanzibar
24 Jun, 2024
Orodha ya Asasi zilizopata vibali vya elimu ya mpiga kura wakati wa uboreshaji wa Daftari 2024/2025
24 Jun, 2024
Orodha ya asasi zilizopata kibali cha uangalizi wa uboreshaji wa Daftari 2024/2025
Tazama Zaidi
Idadi ya Madiwani
5,350
Waliojiandikisha
29,754,699
Wabunge
390
Vituo vya kupigia kura
80,155
Matokeo ya Uchaguzi
Soma zaidi
Boresha Taarifa za Mpiga Kura Mtandaoni
Soma zaidi
Mzunguko wa Uchaguzi
Soma zaidi
Matukio Yajayo
Matukio Zaidi
Matukio
Uboreshaji wa Daftari la Kudumu la Wapiga Kura Zanzibar utafanyika kuanzia tarehe 07 hadi 13 Oktoba, 2024
07 October, 2024 - Zanzibar
Mjumbe wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi Mhe. Magdalena Rwebangira amefunga mafunzo kwa watendaji wa uboreshaji wa Daftrari Mjini Unguja.
02 October, 2024 - Unguja, Zanzibar
Mjumbe wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC), Mhe. Jaji wa Mahakama Kuu Asina Omari amefungua Mkutano wa Wadau wa Uchaguzi kuhusu uboreshaji wa Daftari.
30 September, 2024 - Unguja, Zanzibar
Uboreshaji wa Daftari mikoa ya Singida, Manyara (Simanjiro, Kiteto, Mbulu) na Dodoma (Dodoma CC, Kongwa, Bahi na Chamwino) Septemba 25-Oktoba 01, 2024
25 September, 2024 - Singida, Manyara na Dodoma
Previous
Next |
https://www.pmo.go.tz/ | Naibu Waziri Mkuu
Waziri wa Nchi & Naibu Mawaziri
Mhe. Patrobas Paschal Katambi
Naibu Waziri ,Ofisi ya Waziri Mkuu(Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu)
Katibu Mkuu & Naibu Katibu Mkuu
Habari Za Waziri Mkuu
- 13th Oct, 2024
Majaliwa: Uwekezaji mkubwa umefanyika sekta ya hali ya hewaSoma zaidi
- 11th Oct, 2024
Majaliwa: Vijana changamkieni fursa zinazotokana na Maendeleo ya Kijid...Soma zaidi
- 11th Oct, 2024
Serikali haijatoa maagizo kuwaondoa kazini walimu wa cheti-MajaliwaSoma zaidi
- 07th Oct, 2024
Majaliwa: Rais Dkt. Samia anamatumaini makubwa na Taifa StarsSoma zaidi
- 06th Oct, 2024
Waziri Mkuu aagiza watumishi wanne Kigamboni wafikishwe mahakamaniSoma zaidi
Habari Nyingine
- 13th Oct, 2024
Dkt. Biteko ashiriki ufungaji Maonesho ya Madini GeitaSoma zaidi
- 11th Oct, 2024
Wananchi waendelea kupata elimu katika banda la Ofisi ya Waziri Mkuu k...Soma zaidi
- 11th Oct, 2024
Dkt. Biteko aongoza wananchi bukombe kujiandikisha Daftari la Mpiga Ku...Soma zaidi
- 11th Oct, 2024
Serikali imeendelea kujali walimu kwa vitendoSoma zaidi
- 11th Oct, 2024
Viongozi wahimizwa kuweka mkazo, watu kujitokeza kujiandikishaSoma zaidi
Hotuba
Matukio ya Kitaifa
Nukuu za Waziri Mkuu
Uzalendo ndio utalifanya Taifa liendelee kujitegemea, hivyo ni muhimu suala hilo likapewa kipaumbele. Tusikubali kushawishiwa na Mtanzania yeyote anayetumiwa na watu wenye lengo la kutaka kuja kututawala, tusikubali lazima tuendelee kuwa huru na tulinde rasilimali kwa manufaa ya wote.Mhe. Kassim Majaliwa Majaliwa
08th Dec, 2020 |
https://www.orpp.go.tz/ | Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa imepongezwa kwa namna ambavyo imekuwa mstari wa mbele katika kuhakikisha Vyama vya Siasa vinajiendesha kama taasisi na kwa kuzingatia sheria na taraatibu za kidemokrasia. Soma zaidi..
Karibu kwenye tovuti ya Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa . Kupitia tovuti hii, utapata taarifa za uhakika juu ya shughuli za Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa nchini na taarifa za uhakika juu ya Vyama vya Siasa.
Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa imejikita katika usimamizi wa Sheria ya Vyama vya Siasa Na 5 ya mwaka 1992 na Sheria ya Gharama za uchaguzi ya mwaka 2010 ili kuhakikisha uwepo na ukuaji wa demokrasia ya vyama vingi nchini.
Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa imepongezwa kwa namna ambavyo imekuwa mstari wa mbele katika kuhakikisha Vyama vya Siasa vinajiendesha kama taasisi na kwa kuzingatia sheria na taraatibu za kidemokrasia. Soma zaidi..
Baraza la Vyama vya Siasa limeafiki kutoa pongezi za dhati kwa Mhe. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa namna ambavyo ameendelea kuimarisha Demokrasia nchini kwa kuboresha Baraza la Vyama vya Siasa nchini. Soma zaidi..
Watumishi Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa watakiwa kuzingatia matumizi sahihi ya vifaa vya TEHAMA na kuwa makini wanapokuwa katika mitandao ya kijamii ili kuhakikisha wanalinda unyeti wa ofisi hiyo. Soma zaidi..
Rais Samia amekipongeza Kikosi Kazi cha kuratibu maoni ya wadau wa demokrasia ya vyama vingi vya siasa nchini kwa kazi nzuri walioifanya ya kuchambua maoni ya wadau kwa kipindi cha miezi 10. Soma zaidi.. |
https://twitter.com/ccm_tanzania?ref_src=twsrc%5Etfw | x.com |

- Downloads last month
- 11