African-NER / inputs /Swahilu /Example5.txt
abdullahmubeen10's picture
Upload 58 files
908edf6 verified
raw
history blame
329 Bytes
Mahakama ya Juu ya Korea Kusini imeamrisha mahakama ya chini ifikirie tena moja ya mashtaka ya jinai...
Mahakama ya Juu ya Korea Kusini imeamrisha mahakama ya chini ifikirie tena moja ya mashtaka ya jinai dhidi ya Rais wa zamani Park Geun - hye ambaye alilazimishwa kuondoka madarakani mwaka 2017 kutokana na kashfa ya ufisadi .