Spaces:
Sleeping
Sleeping
Wajumbe wa kikosi kazi cha virusi vya corona cha White House wamepangiwa kutoa ushuhuda mbele ya kam... | |
Wajumbe wa kikosi kazi cha virusi vya corona cha White House wamepangiwa kutoa ushuhuda mbele ya kamati ya Nishati na Biashara ya Baraza la Wawakilishi Jumanne , na Spika wa Baraza la Wawakilishi Nancy Pelosi amesema , β Wananchi wa Marekani wanahitaji majibu kwa nini Rais Trump anataka upimaji upunguzwe kasi wakati wataalam wanasema upimaji zaidi unahitajika . |