File size: 5,604 Bytes
868d802 |
1 2 3 4 5 6 7 8 9 10 11 12 13 14 15 16 17 18 19 20 21 22 23 24 25 26 27 28 29 30 31 32 33 |
sentence: Sanders ambaye amekuja kufahamika na wengi kama mdemokrat anayegemea kwa sera za kisosialisti , alitangaza kujiondoa kwenye kinyang'anyiro cha kuwania tikiti ya chama hicho wiki iliyopita , lakini wakati huo hakutangaza moja kwa moja kama angemuunga mkono Biden .
sentence: Hatua ya Sanders kumuunga mkono Biden ambaye amakuwa mshindani wake mkuu katika kinyang’anyiro cha tiketi ya chama cha democratic , ni muhimu sana wakati chama hicho kinatafuta kuunganisha wafuasi wake dhidi ya Rais Trump katika uchaguzi ujao .
sentence: Matokeo ya awali yameonyesha kuwa yeye anaongoza katika kinyang’anyiro hicho dhidi ya mgombea wa muungano wa upinzani Martin Fayulu na yule wa muungano wa chama tawala Emmanuel Shadary . Fayulu <person> Shadary <person>
sentence: Halikuletwa na mtu .
sentence: Wachambuzi wanasema mvutano huu kwa upande mmoja ni kichekesho lakini wakati huo huo ni tukio muhimu ambalo halifahamiki lita athiri vipi kazi za vyombo hivyo viwili vya utawala .
sentence: Sijambo ambalo ni sawasawa .
sentence: Mbowe alitoa rai rasmi kwa Rais Magufuli akimsihi kwamba washauri wake wanamwogopa na hawamuelezi hali halisi ya ugonjwa huo nchini Tanzania . Tanzania <organization>
sentence: Hilo wala msiwe na wasiwasi .
sentence: Na kitendo cha kwamba mpaka leo tarehe 18 , unaendelea mgomo wako .
sentence: Tamko hilo limesema kuwa Russia ilikuwa imepeleka ujumbe rasmi Wizara ya Mambo ya Nje ya Marekani , wakitaka haki za Aleksei Burkov ziheshimiwe . Russia <organization> Marekani <organization> Burkov <person>
sentence: Imetayarishwa na Mwandishi wetu , Washington , DC . Washington <organization> , <location> DC <location>
sentence: Onyo la EU kuhusu kuongezeka hali ya mivutano limetolewa wakati Marekani ambayo ilijitoa kutoka mkataba wa kimataifa kupunguza nia ya iran kumiliki silaha za nyuklia imepeleka manuwari ya kubeba ndege za kivita ya USS Abraham Lincoln na ndege nne za mashambulizi aina ya B - 52 huko mashariki ya kati katika kujibu wasi wasi kwamba Iran huwenda inapanga shambulizi dhidi ya vituo vya Marekani . EU <person> Marekani <organization> USS <person> Abraham <organization> Lincoln <organization> Iran <organization> Marekani <organization>
sentence: Nitafanya kila niwezalo kuhakikisha kwamba hilo linafanikiwa , Joe , ” Sanders alimwambia Biden katika video iliyowekwa kwenye wavuti wa Biden na kusambazwa kwa mitandao ya kijamii .
sentence: 26 kwa pipa ikiwa chini kwa asilimia 7 .
sentence: 6 , wakati bei ya kimataifa ya mafuta ya Brent , inauzwa kwa dola 25 . Brent <person>
sentence: Hayo yameelezwa na maafisa wa afya wakati ghasia na vurugu kwa kiasi kikubwa zimedumaza juhudi za kuudhibiti mlipuko wa pili wa Ebola ambao umeuwa watu 2 , 199 tangu ulipozuka Agosti mwaka 2018 . Agosti <location>
sentence: Mataifa makuu ya duniani yameimarisha juhudi mnamo wiki chache zilizopita za kutafuta suluhisho la kisiasa kumaliza mzozo wa miaka kadhaa nchini Libya , tangu kuuliwa kwa kiongozi wa muda mrefu Muammar Ghadafi . Libya <organization> Ghadafi <person>
sentence: Katika ukosoaji wa nadra kwa umma , shirika la afya Duniani - WHO wiki iliyopita lilieleza kwamba katika kupingana na kanuni za kimataifa za afya , Tanzania ilikataa kutoa taarifa za kina za kesi zinazoshukiwa kuwa za Ebola . shirika <person> la <organization> afya <organization> Duniani <organization> WHO <person> Tanzania <organization>
sentence: consumers through credit card fraud .
sentence: Mazungumzo hayo yanafuatia onyo lililotolewa wiki iliyopita na Rais wa Iran , Hassan Rouhani ambaye alieleza kwamba Tehran itaweza kurudia kurutubisha uranium ya kiwango cha juu kama Umoja wa ulaya , China na Russia hazitaunda mpango wa kuzuia adhabu ya vikwazo vya Marekani kwa mabenki ya Iran na sekta za nishati . Iran <organization> Rouhani <person> Tehran <organization> China <organization> Russia <organization> Marekani <organization> Iran <organization>
sentence: Na hii ni pandemic ni tatizo la dunia .
sentence: Wakati huohuo Uingereza inakabiliwa na makadirio ya kusikitisha kwamba inawezekana ikawa iliyoathiriwa vibaya zaidi na virusi vya corona katika bara la Ulaya . Uingereza <organization> Ulaya <organization>
sentence: Abdulrahman mfanyakazi wa benki mjini Aden amesema : """" Hali ni tulivu . Aden <organization>
sentence: Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani Mike Pompeo Jumapili aliishutumu Beijing kwa kuficha hali mbaya iliyokuwa ikiendelea juu ya virusi hivyo na kuendelea kuhodhi shehena za vifa vya matibabu . Marekani <organization> Pompeo <person> Jumapili <location> Beijing <organization>
sentence: Biden alimshukuru Sanders kwa kumuidhinisha , akisema anamhitaji sana sio kushinda kiti cha urais , lakini hata katika kuongoza Marekani . Marekani <organization>
sentence: Lakini tangu Alhamisi wiki iliyopita mapigano yalizuka kati ya makundi ya kisunni yanayoungwa mkono na mungano wa nchi za kiarabu . Alhamisi <location>
sentence: Hii inafuatia kutekwa kwa majengo ya serikali na wapiganaji wanaotaka kujitenga upande wa kusini .
sentence: Wabunge wakipata mshahara wanakatwa kupelekwa kwenye chama chake .
sentence: Marekani inapeleka ujumbe wa maafisa wa ngazi ya chini kutokana na mvutano ulioko kati ya nchi hizi mbili kuhusiana na mradi huo . Marekani <organization>
sentence: Kufuatana na Umoja wa Mataifa karibu watu 40 wameuliwa na 260 kujeruhiwa tangu kuanza mapigano ya Aden . Umoja <person> wa <organization> Mataifa <organization> Aden <organization>
sentence: , ” amekosoa Spika .
sentence: Miili ya watu 39 imekutwa katika gari kubwa la mizigo ndani ya konteina moja nchini Uingereza . Uingereza <organization>
|