Mahakama ya Juu ya Korea Kusini imeamrisha mahakama ya chini ifikirie tena moja ya mashtaka ya jinai... Mahakama ya Juu ya Korea Kusini imeamrisha mahakama ya chini ifikirie tena moja ya mashtaka ya jinai dhidi ya Rais wa zamani Park Geun - hye ambaye alilazimishwa kuondoka madarakani mwaka 2017 kutokana na kashfa ya ufisadi .