Wajumbe wa kikosi kazi cha virusi vya corona cha White House wamepangiwa kutoa ushuhuda mbele ya kam... Wajumbe wa kikosi kazi cha virusi vya corona cha White House wamepangiwa kutoa ushuhuda mbele ya kamati ya Nishati na Biashara ya Baraza la Wawakilishi Jumanne , na Spika wa Baraza la Wawakilishi Nancy Pelosi amesema , “ Wananchi wa Marekani wanahitaji majibu kwa nini Rais Trump anataka upimaji upunguzwe kasi wakati wataalam wanasema upimaji zaidi unahitajika .