Wanamgambo wa ADF Mauaji ya Alhamisi katika mkoa wa Mbau kaskazini mwa Beni yanashukiwa kufanya na k... Wanamgambo wa ADF Mauaji ya Alhamisi katika mkoa wa Mbau kaskazini mwa Beni yanashukiwa kufanya na kundi la waasi la Allied Democratic Force , ADF , ambalo linahusika na mfululizo wa mauaji tangu kuanza kwa ghasia mwezi November .