Waziri Mkuu wa Uingereza Boris Johnson amesema ataheshimu utaratibu wa sheria lakini Uingereza itaji... Waziri Mkuu wa Uingereza Boris Johnson amesema ataheshimu utaratibu wa sheria lakini Uingereza itajiondowa kutoka Umoja wa Ulaya ( EU ) ifikapo Oktoba 31 .